Surat As-Saffat, aya 21

37:21

هَٰذَا يَوۡمُ ٱلۡفَصۡلِ ٱلَّذِي كُنتُم بِهِۦ تُكَذِّبُونَ ٢١

Hādhā yawmul-faslil-ladhī kuntum bihī tukaddhibūn

Hii ndiyo Siku ya Hukumu mliyo kuwa mkiikadhibisha. 21

Maelezo ya chini

21 Watajibiwa: Hii ndiyo Siku ya Hukumu na kufarikisha vitendo, mliyo kuwa mkiikadhibisha.