Surat As-Saffat, aya 20

37:20

وَقَالُواْ يَٰوَيۡلَنَا هَٰذَا يَوۡمُ ٱلدِّينِ ٢٠

Waqālū yāwaylanā hādhā yawmud-dīn

Watasema: Ole wetu! Hii ndiyo Siku ya Malipo. 20

Maelezo ya chini

20 Na washirikina watasema: Ee msiba wetu huu! Hii ndiyo Siku ya Hisabu na Malipo kwa a'mali zilio tendwa!