Surat As-Saffat, aya 19

37:19

فَإِنَّمَا هِيَ زَجۡرَةٞ وَٰحِدَةٞ فَإِذَا هُمۡ يَنظُرُونَ ١٩

Fa innamā hiya zajratun wāhidatun fa idhā hum yanzurūn

Huko utapigwa ukelele mmoja tu! Na hapo ndio wataona! 19

Maelezo ya chini

19 Kwani hakika kufufuliwa ni Ukelele mmoja tu, mara wote watakuwa wahai wakiyaona waliyo ahidiwa.