Surat As-Saffat, aya 178

37:178

وَتَوَلَّ عَنۡهُمۡ حَتَّىٰ حِينٖ ١٧٨

Watawalla 'anhum hattā hīn

Na waache kwa muda. 178

Maelezo ya chini

178 Na waachilie mbali mpaka mambo yatakapo waishia.