Surat As-Saffat, aya 177

37:177

فَإِذَا نَزَلَ بِسَاحَتِهِمۡ فَسَآءَ صَبَاحُ ٱلۡمُنذَرِينَ ١٧٧

Fa idhā nazala bisāhatihim fasā'a sabāhul-mundharīn

Basi itakapo shuka uwanjani kwao, itakuwa asubuhi mbaya kwa walio onywa. 177

Maelezo ya chini

177 Basi adhabu hiyo itakapo teremka kwenye uwanja wao mpana, itakuwa asubuhi ovu kweli hiyo kwa hao walio onywa na adhabu.