وَأَبۡصِرۡ فَسَوۡفَ يُبۡصِرُونَ ١٧٩
Wa absir fasawfa yubsirūn
Na tazama, na wao wataona. 179
Maelezo ya chini
179 Na yaangalie yatakayo wafika wao na yatakayo kufika wewe. Wao watakuja yaona hayo wanayo yahimiza.
وَأَبۡصِرۡ فَسَوۡفَ يُبۡصِرُونَ ١٧٩
Wa absir fasawfa yubsirūn
Na tazama, na wao wataona. 179
179 Na yaangalie yatakayo wafika wao na yatakayo kufika wewe. Wao watakuja yaona hayo wanayo yahimiza.