Surat As-Saffat, aya 174

37:174

فَتَوَلَّ عَنۡهُمۡ حَتَّىٰ حِينٖ ١٧٤

Fatawalla 'anhum hattā hīn

Basi waachilie mbali kwa mda. 174

Maelezo ya chini

174 Basi waachilie mbali, nawe ngoja mpaka wakati ujao. Kwani Sisi tutakupa wewe matokeo mema, na manusura, na ushindi.