وَإِنَّ جُندَنَا لَهُمُ ٱلۡغَٰلِبُونَ ١٧٣
Wa inna jundanā lahumul-ghālibūn
Na kwamba jeshi letu ndilo litakalo shinda. 173
Maelezo ya chini
173 Na kwamba wafuasi wetu na wasaidizi wetu ndio peke yao watakao washinda walio kengeuka.