إِنَّهُمۡ لَهُمُ ٱلۡمَنصُورُونَ ١٧٢
Innahum lahumul-mansūrūn
Ya kuwa wao bila ya shaka ndio watakao nusuriwa. 172
Maelezo ya chini
172 Ninaapa! Hukumu yetu kwa Mitume tulio watuma imekwisha tolewa mbele, ya kwamba ushindi na matokeo mema ni yao wao dhidi ya makafiri.