Surat As-Saffat, aya 167

37:167

وَإِن كَانُواْ لَيَقُولُونَ ١٦٧

Wa in kānū layaqūlūn

Na walikuwapo walio kuwa wakisema:. 167

Maelezo ya chini

167 Na walikuwapo makafiri wa Makka kabla ya kuteuliwa Mtume s.a.w. ambao wakisema: