Surat As-Saffat, aya 154

37:154

مَا لَكُمۡ كَيۡفَ تَحۡكُمُونَ ١٥٤

Mā lakum kayfa tahkumūn

Mna nini? Mnahukumu vipi nyinyi?. 154

Maelezo ya chini

154 Ni nini lilio kusibuni hata mkakata hukumu bila ya ushahidi? Vipi mnahukumu hivyo na hali ni upotovu ulio wazi?