Surat As-Saffat, aya 153

37:153

أَصۡطَفَى ٱلۡبَنَاتِ عَلَى ٱلۡبَنِينَ ١٥٣

Astafal-banāti 'alal-banīn

Ati amekhiari watoto wa kike kuliko wanaume?. 153

Maelezo ya chini

153 Ati Yeye amejichagulia mwenyewe mabinti ambao kwa madai yenu ndio mnawachukia kuliko watoto wa kiume ambao mnawapenda, na hali Yeye ndiye Mwenye kuwaumba wote, watoto wa kike na wa kiume?