وَإِذَا رَأَوۡاْ ءَايَةٗ يَسۡتَسۡخِرُونَ ١٤
Wa idhā ra'aw āyatan yastaskhirūn
Na wanapo ona Ishara, wanafanya maskhara. 14
Maelezo ya chini
14 Na wanapo ona ushahidi wa kuonyesha uweza wa Mwenyezi Mungu huitana wapate kupita mipaka katika kumkejeli.