وَأَرۡسَلۡنَٰهُ إِلَىٰ مِاْئَةِ أَلۡفٍ أَوۡ يَزِيدُونَ ١٤٧
Wa arsalnāhu ilā mi'ati alfin aw yazīdūn
Na tulimtuma kwa watu laki moja au zaidi. 147
Maelezo ya chini
147 Hata alipo pata nafuu kutokana na yaliyo msibu, tukamtuma awaendee watu wengi. Wanasema walio waona kuwa wanapata laki moja au zaidi.