Surat As-Saffat, aya 146

37:146

وَأَنۢبَتۡنَا عَلَيۡهِ شَجَرَةٗ مِّن يَقۡطِينٖ ١٤٦

Wa ambatnā 'alayhi shajaratam min yaqtīn

Na tukauotesha juu yake mmea wa kabila ya mung'unye. 146

Maelezo ya chini

146 Tukauotesha mmea wa kutambaa, usio simama juu ya kigogo, ukamfunika na kumkinga na madhara ya hali ya hewa.