فَـَٔامَنُواْ فَمَتَّعۡنَٰهُمۡ إِلَىٰ حِينٖ ١٤٨
Fa'āmanū famatta'nāhum ilā hīn
Basi wakaamini, na tukawastarehesha kwa muda. 148
Maelezo ya chini
148 Wakauwitikia wito wake, nasi tukawakunjulia neema zetu kwa muda maalumu.