Surat As-Saffat, aya 144

37:144

لَلَبِثَ فِي بَطۡنِهِۦٓ إِلَىٰ يَوۡمِ يُبۡعَثُونَ ١٤٤

Lalabitha fī batnihī ilā yawmi yub'athūn

Bila ya shaka angeli kaa ndani yake mpaka siku ya kufufuliwa. 144

Maelezo ya chini

144 Na lau kuwa Yunus hakuwa katika wanao mtakasa Mwenyezi Mungu, wanao dumu kumdhukuru, angeli kufa ndani ya samaki, wala asingeli toka humo mpaka siku ya kufufuliwa.