Surat As-Saffat, aya 143

37:143

فَلَوۡلَآ أَنَّهُۥ كَانَ مِنَ ٱلۡمُسَبِّحِينَ ١٤٣

Falawlā annahū kāna minal-musabbihīn

Na ingeli kuwa hakuwa katika wanao mtakasa Mwenyezi Mungu,. 143

Maelezo ya chini

143 Na lau kuwa Yunus hakuwa katika wanao mtakasa Mwenyezi Mungu, wanao dumu kumdhukuru, angeli kufa ndani ya samaki, wala asingeli toka humo mpaka siku ya kufufuliwa.