فَٱلۡتَقَمَهُ ٱلۡحُوتُ وَهُوَ مُلِيمٞ ١٤٢
Fal-taqamahul-hūtu wahuwa mulīm
Samaki akammeza hali ya kuwa ni mwenye kulaumiwa. 142
Maelezo ya chini
142 Samaki akammeza, naye hakika alistahiki lawama kwa kuikimbia kazi yake ya Daa'wa, Wito, kuwaitia watu wafuate Haki, na kuacha kuwasubiria wale walio kwenda kinyume naye..