وَإِذَا ذُكِّرُواْ لَا يَذۡكُرُونَ ١٣
Wa idhā dhukkirū lā yadhkurūn
Na wanapo kumbushwa hawakumbuki. 13
Maelezo ya chini
13 Na wanapo kabiliwa kwa dalili za uweza wa Mwenyezi Mungu kufufua, hata hawazishughulikii wakanufaika kwa hizo dalili.