Surat As-Saffat, aya 139

37:139

وَإِنَّ يُونُسَ لَمِنَ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ١٣٩

Wa inna yūnusa laminal-mursalīn

Na hakika Yunus alikuwa miongoni mwa Mitume. 139

Maelezo ya chini

139 Na hakika Yunus ni miongoni mwa tulio watuma wawafikishie Ujumbe wetu watu.