وَبِٱلَّيۡلِۚ أَفَلَا تَعۡقِلُونَ ١٣٨
Wabillayli afalā ta'qilūn
Na usiku. Basi je! Hamyatii akilini?. 138
Maelezo ya chini
138 Na hakika nyinyi, watu wa Makka, mnayapitia majumba ya hao kaumu Lut'i katika safari zenu za kwendea Sham asubuhi au usiku. Je! Mmepotelewa na akili zenu hata hamwezi kuzingatia yaliyo wapitia hao kuwa ni malipo ya ukanushaji wao?