Surat As-Saffat, aya 124

37:124

إِذۡ قَالَ لِقَوۡمِهِۦٓ أَلَا تَتَّقُونَ ١٢٤

Idh qāla liqawmihī alā tattaqūn

Alipo waambia watu wake: Hamwogopi?. 124

Maelezo ya chini

124 Ilyas alipo waambia watu wake, nao walikuwa wakiyaabudu masanamu yao: Je! Mnaendelea juu ya makosa yenu, na wala hamumkhofu Mwenyezi Mungu mkajikinga na adhabu yake?