أَتَدۡعُونَ بَعۡلٗا وَتَذَرُونَ أَحۡسَنَ ٱلۡخَٰلِقِينَ ١٢٥
Atad'ūna ba'lan watadharūna ahsanal-khāliqīn
Mnamwomba Baa'li na mnamwacha Mbora wa waumbaji,. 125
Maelezo ya chini
125 Mnaliabudu sanamu linalo itwa Baa'li, na mkaacha kumuabudu Mwenyezi Mungu aliye uumba ulimwengu na akaufanya mzuri uumbaji wake?