Surat As-Saffat, aya 123

37:123

وَإِنَّ إِلۡيَاسَ لَمِنَ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ١٢٣

Wa inna ilyāsa laminal-mursalīn

Na hakika Ilyas bila ya shaka alikuwa miongoni mwa Mitume. 123

Maelezo ya chini

123 Na hakika Ilyas ni katika hao tulio watuma kwenda waongoa watu wao.