وَنَجَّيۡنَٰهُمَا وَقَوۡمَهُمَا مِنَ ٱلۡكَرۡبِ ٱلۡعَظِيمِ ١١٥
Wanajjaynāhumā waqawmahumā minal-karbil-'azīm
Na tukawaokoa wao na watu wao kutokana na dhiki kubwa. 115
Maelezo ya chini
115 Na tukawaokoa wao na watu wao kutokana na dhiki kubwa iliyo kuwa iwashukie kutokana na Firauni na kaumu yake.