وَلَقَدۡ مَنَنَّا عَلَىٰ مُوسَىٰ وَهَٰرُونَ ١١٤
Walaqad manannā 'alā mūsā wahārūn
Na kwa hakika tuliwafanyia hisani Musa na Haruni. 114
Maelezo ya chini
114 Na bila ya shaka tuliwaneemesha Musa na Haruni kwa kuwapa Unabii na neema kubwa kubwa.