يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ لِمَ تَقُولُونَ مَا لَا تَفۡعَلُونَ ٢
Yā'ayyuhal-ladhīna āmanū lima taqūlūna mā lā taf'alūn
Enyi mlio amini! Kwa nini mnasema msiyo yatenda? 2
Maelezo ya chini
2 Enyi mlio amini! Kwa ajili ya nini mnasema kwa ndimi zenu yasiyo hakikishwa na vitendo vyenu?