Surat As-Saff, aya 3

61:3

كَبُرَ مَقۡتًا عِندَ ٱللَّهِ أَن تَقُولُواْ مَا لَا تَفۡعَلُونَ ٣

Kabura maqtan 'indallāhi an taqūlū mā lā taf'alūn

Yanachukiza vikubwa mno kwa Mwenyezi Mungu kuwa mnasema msiyo yatenda. 3

Maelezo ya chini

3 Mwenyezi Mungu anachukia mno kuwa nyinyi mnasema msiyo yatenda.