Surat An-Nisa, aya 99

4:99

فَأُوْلَٰٓئِكَ عَسَى ٱللَّهُ أَن يَعۡفُوَ عَنۡهُمۡۚ وَكَانَ ٱللَّهُ عَفُوًّا غَفُورٗا ٩٩

Fa ulā'ika 'asallāhu an ya'fuwa 'anhum wakānallāhu 'afuwwan ghafūrā

Basi hao huenda Mwenyezi Mungu akawasamehe. Na Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe, Mwingi wa maghfira 99

Maelezo ya chini

99 Na hao wanatarajiwa kupata msamaha wa Mwenyezi Mungu. Na ni shani yake Mwenyezi Mungu kusamehe na kughufiria.