Surat An-Nisa, aya 68

4:68

وَلَهَدَيۡنَٰهُمۡ صِرَٰطٗا مُّسۡتَقِيمٗا ٦٨

Walahadaynāhum sirātam mustaqīmā

Na tungeli waongoa Njia iliyo nyooka. 68

Maelezo ya chini

68 Na kwa sababu ya kut'ii kwao kwa uweza wao inakuwa hakika Mwenyezi Mungu amewaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka isio pindukia kiasi kwa kuzidi au kupungua.