وَإِذٗا لَّأٓتَيۡنَٰهُم مِّن لَّدُنَّآ أَجۡرًا عَظِيمٗا ٦٧
Wa idhal la'ātaynāhum mil ladunnā ajran 'azīmā
Na hapo tunge wapa malipo makubwa kutoka kwetu. 67
Maelezo ya chini
67 Na lau kuwa wamesimama juu ya Haki aliyo ilazimisha Mwenyezi Mungu kwa kadri ya uweza wao, Mwenyezi Mungu angeli wapa malipo makubwa kwa fadhila yake.