إِلَّا طَرِيقَ جَهَنَّمَ خَٰلِدِينَ فِيهَآ أَبَدٗاۚ وَكَانَ ذَٰلِكَ عَلَى ٱللَّهِ يَسِيرٗا ١٦٩
Illā tarīqa jahannama khālidīna fīhā abadan wakāna dhālika 'alallāhi yasīrā
Isipo kuwa njia ya Jahannamu. Humo watadumu milele. Na hayo kwa Mwenyezi Mungu ni mepesi. 169
Maelezo ya chini
169 Lakini atawapeleka kwenye njia ya Motoni, na humo wabakie daima dawamu. Na hilo kwa Mwenyezi Mungu ni jambo jepesi.