Surat An-Nazi'at, aya 17

79:17

ٱذۡهَبۡ إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ إِنَّهُۥ طَغَىٰ ١٧

Idhhab ilā fir'awna innahū taghā

Nenda kwa Firauni. Hakika yeye amezidi jeuri 17

Maelezo ya chini

17 Akaambiwa: Nenda kwa Firauni aliye pindukia mpaka katika udhalimu.