وَٱلنَّٰزِعَٰتِ غَرۡقٗا ١
Wan-nāzi'āti gharqā
Naapa kwa wanao komoa kwa nguvu! 1
Maelezo ya chini
1 Ninaapa kwa kila kilicho pewa uwezo wa kuving'oa vitu kutokana na pahala pao kwa nguvu,
وَٱلنَّٰزِعَٰتِ غَرۡقٗا ١
Wan-nāzi'āti gharqā
Naapa kwa wanao komoa kwa nguvu! 1
1 Ninaapa kwa kila kilicho pewa uwezo wa kuving'oa vitu kutokana na pahala pao kwa nguvu,