وَمَا مِنۡ غَآئِبَةٖ فِي ٱلسَّمَآءِ وَٱلۡأَرۡضِ إِلَّا فِي كِتَٰبٖ مُّبِينٍ ٧٥
Wamā min ghā'ibatin fis-samā'i wal-ardi illā fī kitābim mubīn
Na hakuna siri katika mbingu na ardhi ila imo katika Kitabu kinacho bainisha. 75
Maelezo ya chini
75 Na hapana kilicho fichikana cha ghaibu, na kiwe kidogo vipi au duni, mbinguni au katika ardhi ila Mwenyezi Mungu anakijua, na amekidhibiti katika Kitabu cha Haki kilioko kwake.