Surat An-Naml, aya 74

27:74

وَإِنَّ رَبَّكَ لَيَعۡلَمُ مَا تُكِنُّ صُدُورُهُمۡ وَمَا يُعۡلِنُونَ ٧٤

Wa inna rabbaka laya'lamu mā tukinnu sudūruhum wamā yu'linūn

Na hakika Mola wako Mlezi anayajua yanayo ficha vifua vyao na wanayo yatangaza. 74

Maelezo ya chini

74 Ewe Mtume! Hakika Mwenyezi Mungu, Mola wako Mlezi, hapana shaka anajua kila wanalo lificha na wanalo litangaza, ikiwa maneno au vitendo viovu. Naye atakuja walipa kwayo.