إِنَّ هَٰذَا ٱلۡقُرۡءَانَ يَقُصُّ عَلَىٰ بَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ أَكۡثَرَ ٱلَّذِي هُمۡ فِيهِ يَخۡتَلِفُونَ ٧٦
Inna hādhal-qur'āna yaqussu 'alā banī isrā'īla aktharal-ladhī hum fīhi yakhtalifūn
Hakika Qur'ani hii inawasimulia Wana wa Israili mengi wanayo khitalifiana nayo. 76
Maelezo ya chini
76 Hakika Kitabu hiki alicho teremshiwa Muhammad kinawawekea wazi Wana wa Israili ukweli wa yaliyo kuja katika Taurati, katika mambo ya itikadi na hukumu na hadithi. Na kinawarudisha kwenye kweli katika mambo waliyo khitalifiana kwayo.