وَهُوَ بِٱلۡأُفُقِ ٱلۡأَعۡلَىٰ ٧
Wahuwa bil-ufuqil-a'lā
Naye yuko juu kabisa upeo wa macho. 7
Maelezo ya chini
7 Naye yuko upande wa juu katika mbingu upeo wa macho wa mwenye kuangalia.
وَهُوَ بِٱلۡأُفُقِ ٱلۡأَعۡلَىٰ ٧
Wahuwa bil-ufuqil-a'lā
Naye yuko juu kabisa upeo wa macho. 7
7 Naye yuko upande wa juu katika mbingu upeo wa macho wa mwenye kuangalia.