Surat An-Najm, aya 48

53:48

وَأَنَّهُۥ هُوَ أَغۡنَىٰ وَأَقۡنَىٰ ٤٨

Wa annahū huwa aghnā wa aqnā

Na kwamba ni Yeye ndiye anaye tosheleza na kukinaisha. 48

Maelezo ya chini

48 Na Yeye ndiye anaye toa kinacho tosheleza, na akaridhisha kwa kinacho kinaisha na cha kuweka akiba.