Surat An-Najm, aya 47

53:47

وَأَنَّ عَلَيۡهِ ٱلنَّشۡأَةَ ٱلۡأُخۡرَىٰ ٤٧

Wa anna 'alayhin-nash'atal-ukhrā

Na kwamba ni juu yake ufufuo mwengine. 47

Maelezo ya chini

47 Na juu yake Yeye ndio kufufua baada ya kifo.