وَأَنَّهُۥ خَلَقَ ٱلزَّوۡجَيۡنِ ٱلذَّكَرَ وَٱلۡأُنثَىٰ ٤٥
Wa annahū khalaqaz-zawjaynidh-dhakara wal-unthā
Na kwamba Yeye ndiye aliye umba jozi, dume na jike 45
Maelezo ya chini
45 Na Yeye ndiye aliye umba vitu kwa jozi, yaani dume na jike, binaadamu na wanyama,