أَلَّا تَزِرُ وَازِرَةٞ وِزۡرَ أُخۡرَىٰ ٣٨
Allā taziru wāziratun wizra ukhrā
Ya kwamba hakika nafsi iliyo beba madhambi haibebi madhambi ya mwengine? 38
Maelezo ya chini
38 Ya kwamba hapana mtu ataye mbebea dhambi mwenginewe?