Surat An-Najm, aya 37

53:37

وَإِبۡرَٰهِيمَ ٱلَّذِي وَفَّىٰٓ ٣٧

Wa ibrāhīmal-ladhī waffā

Na vya Ibrahimu aliye timiza ahadi? 37

Maelezo ya chini

37 Na Ibrahim, aliye fika ukomo wa kutimiza aliyo agana na Mwenyezi Mungu,