Surat An-Najm, aya 22

53:22

تِلۡكَ إِذٗا قِسۡمَةٞ ضِيزَىٰٓ ٢٢

Tilka idhan qismatun dīzā

Huo ni mgawanyo wa dhulma! 22

Maelezo ya chini

22 Huo basi ni ugawaji wa dhulma, mnamgawia Mwenyezi Mungu kile mnacho kichukia nyinyi wenyewe!