Surat An-Najm, aya 21

53:21

أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلۡأُنثَىٰ ٢١

Alakumudh-dhakaru walahul-unthā

Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake? 21

Maelezo ya chini

21 Mkagawa, nyinyi muwe na watoto wa kiume, na mkamfanyia Mwenyezi Mungu awe na watoto wa kike!