فَأَوۡحَىٰٓ إِلَىٰ عَبۡدِهِۦ مَآ أَوۡحَىٰ ١٠
Fa awhā ilā 'abdihī mā awhā
Akamfunulia mja wake (Mwenyezi Mungu) alicho mfunulia. 10
Maelezo ya chini
10 Jibrili akamfunulia mja wa Mwenyezi Mungu na Mtume wake, alicho mfunulia, nao ufunuo huo ni jambo lenye shani kubwa na athari ya mbali kabisa.