وَإِذَا رَءَا ٱلَّذِينَ ظَلَمُواْ ٱلۡعَذَابَ فَلَا يُخَفَّفُ عَنۡهُمۡ وَلَا هُمۡ يُنظَرُونَ ٨٥
Wa idhā ra'al-ladhīna zalamul-'adhāba falā yukhaffafu 'anhum walā hum yunzarūn
Na walio dhulumu watakapo iona adhabu hawatapunguziwa hiyo adhabu,wala hawatapewa muhula. 85
Maelezo ya chini
85 Na wale walio jidhullumu nafsi zao kwa kukufuru watakapo iona Jahannamu, na wakataka wapunguziwe adhabu, hawato jibiwa, wala hawato akhirishwa kuingia Jahannamu hata dakika moja.