Surat An-Nahl, aya 73

16:73

وَيَعۡبُدُونَ مِن دُونِ ٱللَّهِ مَا لَا يَمۡلِكُ لَهُمۡ رِزۡقٗا مِّنَ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ شَيۡـٔٗا وَلَا يَسۡتَطِيعُونَ ٧٣

Waya'budūna min dūnillāhi mā lā yamliku lahum rizqam minas-samāwāti wal-ardi shay'an walā yastatī'ūn

Na badala ya Mwenyezi Mungu wanawaabudu wasio wamilikia riziki kutoka mbinguni wala kwenye ardhi, wala hawawezi kitu. 73

Maelezo ya chini

73 Na wakawa badala ya Mwenyezi Mungu wakaabudu masanamu ambayo hayawezi kuwapa riziki yoyote hata chembe, sawa sawa ikiwa riziki hiyo inatoka mbinguni kama maji, au kutokana na ardhi kama matunda ya miti na mimea. Na miungu hiyo haiwezi kufanya lolote kama hayo, wala duni ya hayo!