Surat An-Nahl, aya 55

16:55

لِيَكۡفُرُواْ بِمَآ ءَاتَيۡنَٰهُمۡۚ فَتَمَتَّعُواْ فَسَوۡفَ تَعۡلَمُونَ ٥٥

Liyakfurū bimā ātaynāhum fatamatta'ū fasawfa ta'lamūn

Wakizikataa neema tulizo wapa. Basi stareheni. Mtakuja jua! 55

Maelezo ya chini

55 Hayo hutokea ili mwisho wao huwa kuikanya fadhila yetu kwa yale tuliyo wapa. Basi enyi makafiri! Stareheni na hayo msiyo yatolea Haki ya shukrani. Mtakuja kuujua mwisho wa ukafiri!